Naomba maelekezo namna ya ku unlock modem
Mwl.ni ya Huawei ya t...
E303 HUAWEI MODERM msaada kaka
- Hizi huwei za tiGo zipo za aina TATU E303u, E303s [ Hizi ni za zamani ] , Pia kuna hizi mpya E303H
- Je modem yako ni ipi kati ya hizo model tajwa,
- Angalia sehemu ya kuwekea laini kuna sticker isome na sema ,kiukamilifu modem yako ni ipi?
- Je ni huawei ipi E303s au E303H au ni E303 hiLink
- Kuna njia tofauti ya ku_unlock kwa kila aina ya modem