Msaada jinsi ya kupunguza mb za video

Msaada jinsi ya kupunguza mb za video

cnjona

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2014
Posts
1,027
Reaction score
239
Wataalamu naomba msaada jinsi ya kupunguza MB ukisha rekodi video kwenye simu.

Yaani narekodi video ina dakika 1 tu, lakini ina 40mb.

Sasa nifanyaje ili iwe na mb ndogo? kama hizi video tunazodowload, utakuta ina dakika 5 lakini ina 3mb.
 
wataalamu naomba msaada jinsi ya kupunguza mb ukisha rekodi video kwenye simu.
yaani narekodi video ina dakika 1 tu, lakini ina 40mb.
sasa nifanyaje ili iwe na mb ndogo? kama hizi video tunazo dowload, utakuta ina dakika 5 lakini ina 3mb.
Punguza resolution
 
Punguza resolution kama ulivyoshauriwa. Ama record kisha convert kwa storage na quality unayotakaaaa
 
Kuna convertors ambazo unaset unaitaji size gan.
Kulingana na quality unayoitaji
 
Kwenye setting ya camera ndo utakuta resolution weka normal
 
Kuna convertors ambazo unaset unaitaji size gan.
Kulingana na quality unayoitaji
asante kwa msaada....
naomba kama unaifahamu ipo play store nitajie ili niipakue.
 
Back
Top Bottom