Premium Adsense: Naomba ushuhuda wa aliyeipata

apakak

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
896
Reaction score
662
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,naomba ushuhuda wa aliyepata premium adsense

Aliipataje? Katika mazingira gani? Bado anaitumia? Tofaut yake na adsense za kawaida ni ipi?

Natanguliza shukrani
 
Hakika hata mm nasubr
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,naomba ushuhuda wa aliyepata premium adsense

Aliipataje? Katika mazingira gani? Bado anaitumia? Tofaut yake na adsense za kawaida ni ipi?

Natanguliza shukrani
mkuu premiem account kwa adsense ni bora na ili kuipata kuna link maalum(nitaiweka) ya kuombea kama umekidhi vigezo wanakagua site yako na kukubalia, vigezo kadhaa kama 1. Kuwa na organic traffic kubwa .. siku za nyuma walikua wanahitaji page views 100,000 ++ kwa siku ila kwa sasa wamepunguza. 2. Content zako ziwe bora na site yako isiwe ya adult contents. etcc FAIDA ZAKE NI NYINGI SANA 1. Utakua na uwezo wa kupanga bei za matangazo/kuchagua 2. Kufungiwa sio kirahisi kama normal account. 3. Matangazo yake unaweza kuweka kwenye post za lugha yoyote i.e kiswahili, kizaramo, kipare na inakua legally. 4. Unaweza kuweka matangazo yake kwenye domain yoyote hata kama ilishapigwa banned/disabled matangazo ya kawaida etc
 
Tupeni hiyo link wakuu
 
Kwanini umuuzie mtu kitu kisichofaa, what for na inakusaidia nini?
hata mimi sijui ila ndivyo dunia ilivyo na wengi wanafanya hivyo.. ngoja nikupe mfano wa hawa matapeli wa adsense.. 1. Unaweza kuuziwa adsense ambayo umewekwa sio admin 2. Unaweza kuuziwa adsense iliyopata dollar za VPN 3. Adsense zilizotengenezwa kwenye computer google waliyoi-mark kama spam.. etc .. pia kuna jambo nataka kukuuliza kuna wauza adsense ni balaa.. kuna mmoja anauza adsense yenye dollar 96 sh 250,000, mwingine anauza yenye dollar 65 sh 70,000, mwingine anauza yenye dollar 60 sh 60,000 na kila siku wanaweka matangazo .. hapa unajiuliza kwa nini wasijazie hizo dollar wachukue hizo pesa, kuliko kupoteza kuda kila siku kutangazo..account kama hizo ni vimeo.. ukifika dollar 100 kwenye tarehe 14-21 hua zinafungwa..
 
Wanatumia VPN, huwa wanafanya makosa Kwa sababu hakuna kitu kipya utakachoweza kuwadanganya adsense, wapo fiti kila idara katika tracking. Pia najua Kuna watu ambao sio waaminifu kwenye hizi online business, na sijajua Kwa nini huwa sisi wabongo tu mambo ya ajabu kiasi hiki.
 
kweli pia google adsense kwa sasa haziaminiki hata kidogo hata ufuate sheria zote hizi account mpya zinapigwa kama una traffics za social media na sio premium.. kama mwezi huu imevunja record ma-blogger wengi wamefungiwa.. kwa upande wangu nimenunua adsense account nne nilisimamia zikatengenezwa kwenye computer mpya nimezituliza mpaka mwakani kama mambo yakitulia nianze tena hawa alternative wapo vizuri sioni umuhimu wa kuhangaika na adsense kwa sasa..
 
Ukifuata sheria hawafungi, mfano mimi sijawahi kufungiwa adsense hata kidogo, ishu inakuja bloggers wengi huwa wanashare na kuweka contents zisizo kizi vigezo vya adsense, na posts nyingi wanakopi na kupasta Kutoka blog moja kwenye nyingine that's why adsense wanakufungia.
 
mkuu hata uwe na content original na unique kiasi gani kama traffic yako ni social network tuu tena kubwa ie views 15,000 per day. lazima lazima upitiwe.. mbona wengi wamejaribu wamegonga mwamba.. mkuu mbona site kibao zinafungwa kila siku au hauko karibu na ma-blogger.. kama wewe haujawahi kufungiwa hauwezi kuwa na experience na hizi account mpya hapo ndio kuna tatizo..
 
mkuu kama upo serious na upo dar es salaam tunaweza kufanya biashara.. hiyo account yako ya zamani niuzie nitakupa hela nzuri.. kwa kua umesema una uhakika accounts za zamani hazina utofauti na accounts mpya.
 
mkuu hata uwe na content original na unique kiasi gani kama traffic yako ni social network tuu tena kubwa ie views 15,000 per day. lazima lazima upitiwe.. mbona wengi wamejaribu wamegonga mwamba.. mkuu mbona site kibao zinafungwa kila siku au hauko karibu na ma-blogger.. kama wewe haujawahi kufungiwa hauwezi kuwa na experience na hizi account mpya hapo ndio kuna tatizo..
Toka niaze hii kazi ya blog ni mwaka wa nane Sasa, na nimeshafahamiana na bloggers wengi sana wawe wakongwe na wachanga na mpaka Sasa nimeshawauzia watu akaunti sio Chini ya 20,kuna baadhi wamedai kufungiwa ila waliowengi bado wanaendeleanazo mpaka Sasa, experience yangu niliyoona ni kwamba asilimia 90 ya watu wanaofungiwa ni kutofuata masharti ya Google adsense, na haya masharti huwa yanabadilika timekwatime kulingana na namna robots zao zinavyoriport issues mbalimbali, bloggers wengi hawataki kuwa wastahimilivu wanataka kutumia shortcut ya kupata pesa haraka haraka hivi kulikuwa wanaingia kwenye kishawisha cha kutumia shortcut na hatimaye kufungiwa. Kama hutajari weka link yako hapa nitakuambia kosa lilitopo kwenye blog yako mpaka ufungiwe.
 
Back
Top Bottom