freeboy JF-Expert Member Joined Mar 24, 2011 Posts 242 Reaction score 191 Nov 10, 2016 #1 Habari wana jamvi. Naomba kuuliza kwa waliowahi kutumia hizo simu za tecno N8 na Huawei Y3II. Napenda kujua ipi ni simu bora kwa kila idara kuanzia ukaaji wa chaji, ukubwa wa memory, processor, camera n.k Asante.
Habari wana jamvi. Naomba kuuliza kwa waliowahi kutumia hizo simu za tecno N8 na Huawei Y3II. Napenda kujua ipi ni simu bora kwa kila idara kuanzia ukaaji wa chaji, ukubwa wa memory, processor, camera n.k Asante.