Mambo zenu,naomba mnisaidie kuchagua kati ya tv hizi:
SAMSUNG
LG
SONY
HEISENCE
SOLSTAR
Zote ni inch 32 na price zao zinarange sawa except kwa SONY iko juu kidogo kuliko zingine hapo...
Nahitaji kudownload software za computers mfano Jet audio,adobe,vlc na zngine je? Nifanyeje ili niweze kudownload kma vl tunatumia PLAY store za kwenye simu? ??
Mmeamkaje wadau,account yangu ya insta inanigomea kufollow marafiki wapya pia kuwafollowback walionifollow mimi tatizo linafikisha mwezi sasa.Tatizo linaweza kuwa nini
Habari wakuu,
Nimeibiwa simu yangu aina ya TECNO J5 (lakini niliinstall avast anti-theft), nawezaje kuitrack simu yangu niipate?
Pia simu yangu ipo rooted, je hata akiiflash naweza kuipata tu?
Habari zenu wakuu
Simu yangu imekuwa na tatizo ya kudownload up automatically alafu zinahitaji Uzi install ukicancell zinarud tena nifanyaje kuzuia hili lisijitokeze manake zimekuwa zikinimalizia...
Hivi kuna uwezekano wa kuaunlock hizi modem maana ni tofauti kabisa na modem tulizozea kwa sababu haionyeshi port wala haina dashboard inatumia WEBUI ukiiplug inajikonnect yenyewe automatic...
bila shaka baadhi yenu hii logo si ngeni machoni penu.
branding wise,hii ni moja kati ya logo inayonivutia.nikaweka nia siku moja nikipata wasaa nijaribu kui-recreate kwa mbinu na maarifa yangu...
NAITAJI MWEYE UJUZI WA MAMBO YA WEBSITE PAMOJA NA SYSTEM NETWORKING, KWA AJILI YA MATUMIZI YA KISHULE ZAIDI.. NAPATIKANA MKOANI MUSOMA . N0 (0765813311)
Habari za muda huu wangwana wa JF ,ni matumaini yangu kuwa mna afya njema , na kama ni tofauti na hivyo Mungu awape nafuu mpone haraka,
Dhumuni kuu la kuandika uzi huu ni kutaka kufahamu sifa na...
Habari ndugu zangu,
Samahanini jamani, nimekuwa nashindwa kuzichukua baadhi ya video kwenye istagram, kwahiyo naomba msaada wenu mnijuze downloader itakayoniwezesha kupakua video bila shida.
Wataalamu naomba kujua kwa nini keyboard ya laptop, hp, split type haifanyikazi. Nikiweka keyboard remotely controlled inafanyakazi. Tatizo lake ni nini?
Habarin wakuu,
Msaada jaman, nmekua natumia trial software kuinstall data zangu, ila sasa mda wake umeisha na siwez ku acces zile data, zile data nmeziingiza nina zihitaji, msaada kwa mawazo nje...
Nina Desktop HP yenye Windows 7 ULTIMATE. Nimeconnect printer HP inaleta madudu haya:
1. Default printing inakataa- default printer connection inakataa
2. It does not print excell and Powepoint...
Wadau naomben msaada wa programme nzuri kwa ajili ya utengenezaji wa Student ID pamoja na "photo entry" kwa ajili ya usajili wa Necta. Najua kwa hapa jf ni kisima cha maarifa.