goodhearted
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 1,048
- 1,342
naomba mwenye kufaham program nzuri ya kuconvert video zenye mb kubwa kwa kuzipunguza eg mb 50 angalau ziwe chini ya 10 na pia kutoka video kwenda audio
Tofautisha kati ya kuconvert na kucompress, ukielewa hapo utajua unachokitaka hakipo.naomba mwenye kufaham program nzuri ya kuconvert video zenye mb kubwa kwa kuzipunguza eg mb 50 angalau ziwe chini ya 10 na pia kutoka video kwenda audio
Mkuu hiyo unapakua bure ama za kununua?Tofautisha kati ya kuconvert na kucompress, ukielewa hapo utajua unachokitaka hakipo.
tumia BIGASOFT TOTAL CONVETER Kuconvert videos na audios kwenda formats tofauti tofauti.