Nimeshajaribu chaja zaidi ya kumi tena original kabisaa. Hata nichaji Masaa mkwa ku guess haraka haraka
-power bank yako ina inatoa umeme mwingi pengine 1 mpaka 2A wakati chaja yako ni ya kichina feki haitoi umeme wa kutosha.
tafuta mtu mwenye chaja orijinal ya tecno muazime hata dakika tano uchaji simu yako uone, ikijaaa katafute chaja nzuri
Kama upo Dar wapelekee tecno kariakoo wanakutengenezea faster sanaWadau simu yangu INA hilo tatizo. Ilikuwa inachaji vizuri tu kwa chaja za kawaida ila kwa sasa inaishia asilimia 2 tu mpaka nitumie power bank.
Je, nini inaweza kuwa tatizo.