za jumapili..hapa Nina cm ndogo ya huwawei na siku za nyuma nilikuwa natua kuangalia video na kusikiliza mziki kupitia TV.sasa ghafla haitumi app hizo kwenye tv .nimejaribu ku-back up lakini...
Cm yang tenco C8 ilkuwa inasumbua kuwaka had ubonyeze button ya kuzmia muda but Jana uck nmeiweka chaji asbh naiwasha inarudia mchezo uleule sasa hapa imewaka imecorrupt vitu vyang vyooote...
Msaada natafuta fundi mzuri wa simu..simu yangu camera not working..hata ikifunguka ukiclick haipigi na ukihold inapiga upside..(picha inatoka juu chini.)nahaitoi option ya back camera only front...
ommytech.com inakupatia huduma ya hosting kwenye website yako pia kununua domain kwa bei rahisi kabisa kma utahitaji wasiliana nasi kwa namba zifuatazo 0752292473 karibun
aman iwe kwenu wadau! mm ninatumia sim aina ya Inote, sasa leo hii ni siku ya tatu kila ninapohitaji kuitumia haikubali inanoletea tu massage google play service has stoped, sasa ni jins gan...
Mimi ni kijana napenda sana kumiliki kituo cha Televisheni kwa kuwa nina uwezo mkubwa wa utunzi na uandaaji wa vipindi. Napenda niwe na kituo cha Televisheni changu ila kutokana sina uwezo wa...
habar zenu, pc yangu ni lenovo L412 sasa tangu juz nikiiwasha kioo kinakua cheupe lakin pc inakua inaendelea kufanya kazi maana nikichomeka monitor ya nje inaonyesha vzr, sasa nikaifungua kule...
Ndugu,
Ni dhahiri kuwa jukwaa hili ni jukwaa la watu wenye skills mbalimbali, zikiweno skills za graphics designing, na vinginevyo vingi. Lakini leo hii nimeona watu wote wanaopenda kufanya...
MARAFIKI.COM ilikuwa my best chating site nlikuwa naingia uko kwa day nakukaa hours meeting new friends chatting na wa bongo
wenzangu hehehe! just chating yani ilikuwa bomba sana n that was like...
Habari wadau wa Tech
Naomba kupewa msaada wa technique ya kuongeza traffic katika tovuti,
Nawasitani wa kutembelewa kwa siku 1K - 1.5K nataka niweze ku move kutoka hiyo stage kwenda kwenye 5k - 10...
Nahitaji kujua wapi naweza pata hizi vitu hapa Dar-es-Salaam.Amazon na Alibaba naona zipo nyingi tu nahisi hata bongo zitakuwepo the qn is where.
Mi ni miongoni mwa watu ambao hujikuta hawahitaji...
Mambo zenu,naomba mnisaidie kuchagua kati ya tv hizi:
SAMSUNG
LG
SONY
HEISENCE
SOLSTAR
Zote ni inch 32 na price zao zinarange sawa except kwa SONY iko juu kidogo kuliko zingine hapo...
Nahitaji kudownload software za computers mfano Jet audio,adobe,vlc na zngine je? Nifanyeje ili niweze kudownload kma vl tunatumia PLAY store za kwenye simu? ??