cleokippo
JF-Expert Member
- Dec 21, 2014
- 2,143
- 1,837
aman iwe kwenu wadau! mm ninatumia sim aina ya Inote, sasa leo hii ni siku ya tatu kila ninapohitaji kuitumia haikubali inanoletea tu massage google play service has stoped, sasa ni jins gan naweza nikaitoa iyo massage? maana hata kuitumia sasa haiwezekan!! chief mkwawa plz naomba unisaidie jins ya ku solve ilo tatizo!!