msaaada wa hii computer

msaaada wa hii computer

wasumu

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2015
Posts
2,452
Reaction score
2,258
msaaada computer yangu imekufa kiooo display aina ni ...hp elite book ...
 
Hivi hii inahitaji msaada au ni kwenda dukani na kununua hicho kioo!!?
 
Hivi hii inahitaji msaada au ni kwenda dukani na kununua hicho kioo!!?
Sio kwenda Dukani na kununua kioo,bali apeleke kwa mafundi computer wao ndo watajua kioo gani kinafaa,kuna vioo vingine akifunga tu vina lipuka,anaweza akatumia ghalama kubwa Kama hana ujuzi wa hivyo vitu
 
Nauza na kufunga screen za laptop aina zote nichek kama upo Dsm 0718 290779
 
Back
Top Bottom