Nataka kuanzisha kituo cha televisheni, naomba ushauri wenu

Nataka kuanzisha kituo cha televisheni, naomba ushauri wenu

Askari Muoga

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
6,112
Reaction score
4,663
Mimi ni kijana napenda sana kumiliki kituo cha Televisheni kwa kuwa nina uwezo mkubwa wa utunzi na uandaaji wa vipindi. Napenda niwe na kituo cha Televisheni changu ila kutokana sina uwezo wa kumiliki mitambo ya kurusha matangazo nataka kuanza kurusha kwa njia ya online hivyo naombeni ushauri nifanye vipi ili nitimize lengo langu la kumiliki kituo cha Televisheni na mnipe ufahamu zaidi kuhusu online tv.
 
Back
Top Bottom