msaada kuhusu hii lenovo

msaada kuhusu hii lenovo

Joined
Jan 4, 2014
Posts
35
Reaction score
11
habar zenu, pc yangu ni lenovo L412 sasa tangu juz nikiiwasha kioo kinakua cheupe lakin pc inakua inaendelea kufanya kazi maana nikichomeka monitor ya nje inaonyesha vzr, sasa nikaifungua kule nyuma ya kioo kuna board fulan hv nahic ndio inverter halaf imeandikwa don't touch sasa nikiigusa gusa hyo sehemu iliyoandikwa don't touch kioo kinaonyesha vzr ila ukizma ukawasha tena tatzo linard mpaka mpaka uiguse guse tena hyo sehemu sasa je hapo tatzo ni hyo inverter au kioo kizima?
 

Attachments

  • IMG-20161119-WA0012.jpg
    IMG-20161119-WA0012.jpg
    26.1 KB · Views: 48
Heshimu taaluma ya watu,,huwezi kufanya kila kitu wewe
Wapelekee computer technician wafanye Yao.
 
Back
Top Bottom