STERLING2014
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 239
- 75
Naomba msaada kwa mtaalamu anambie namna ya kuandika chemical equations za inorganic na organic cpds. Natanguliza Shukrani zangu za dhati kwenu
Asante kwa swali lako zuri..Naomba msaada kwa mtaalamu anambie namna ya kuandika chemical equations za inorganic na organic cpds. Natanguliza Shukrani zangu za dhati kwenu
Piga picha uweke hapa mimi nitakuelekeza jinsi ya kuziweka mkuu.. Chemistry niliiacha O Level sasa na deal na data tu.. Piga picha hiyo Equation nitakuelekeza ASAPNashukuru sana kwa response yako nzr ndg yangu. Pia kama utajali nielekeze namna ya kuweka arrow zile za electron transfer kwa kutumia lewis theory
hii hapa Google Docs - create and edit documents online, for free. ikifunguka nenda kwenye go to google docsGoogle docs naipataje ili niitumie
hii mambo hii, yaninlikua napigwa bakora kila siku!!
Naomba msaada kwa mtaalamu anambie namna ya kuandika chemical equations za inorganic na organic cpds. Natanguliza Shukrani zangu za dhati kwenu
[emoji2] [emoji2] [emoji2]hii mambo hii, yaninlikua napigwa bakora kila siku!!
Google Doc niliyokuonesha ni sawa na MS Word mkuu...Kuna mtu amenipa mbinu ya kutumia ms word ngoja kesho njaribu kama itawork