Ndio payoneer prepaid master card ni nzuri na mimi ndio natumia kwa sasa, na huwa mpunga unaingia ndani ya masaa mawili ukishatumiwa na kampuni husika... Propellar wapo vizuri huwa napiga mpaka dollar 50 siku. kwa siku nikitulia but kwa sasa nimewatuliza kidogo nakomalia zaidi revenuehits na addnoww... Hakuna pressure ya kufungiwa kama matapeli wa google adsense...Angalia hichi ni kipato changu cha leo kwa propellar hakuna pressure kama za adsense na bado dollar zinaendelea zinamiminika kwa leo.. ***note*** Quality traffic ni muhimu kwenye hizi ad network..Wakuu, propeller ads inalipa?
Aliyefaidika alikuwa anapost kwa traffic ya kizungu au ya kibongo ?
Malipo kwa Payoneer Prepaid Master Card ni reliable?
Mkuu, heshima kwako. HongeraNdio payoneer prepaid master card ni nzuri na mimi ndio natumia kwa sasa mpunga unaingia ndani ya masaa mawili ukishatumiwa na kampuni husika... Propellar wapo vizuri huwa napiga mpaka dollar 50 siku. kwa siku nikitulia but kwa sasa nimewatuliza kidogo nakomalia zaidi revenuehits na addnoww... Hakuna pressure ya kufungiwa kama matapeli wa google adsense...Angalia hichi ni kipato changu cha leo kwa propellar hakuna pressure kama za adsense na bado dollar zinaendelea zinamiminika kwa leo.. ***note*** Quality traffic ni muhimu kwenye hizi ad network..
View attachment 434774
Mkuu tupe techniques mi natumia revenue hit lakn bado cpati mpungaNdio payoneer prepaid master card ni nzuri na mimi ndio natumia kwa sasa mpunga unaingia ndani ya masaa mawili ukishatumiwa na kampuni husika... Propellar wapo vizuri huwa napiga mpaka dollar 50 siku. kwa siku nikitulia but kwa sasa nimewatuliza kidogo nakomalia zaidi revenuehits na addnoww... Hakuna pressure ya kufungiwa kama matapeli wa google adsense...Angalia hichi ni kipato changu cha leo kwa propellar hakuna pressure kama za adsense na bado dollar zinaendelea zinamiminika kwa leo.. ***note*** Quality traffic ni muhimu kwenye hizi ad network..
View attachment 434774
exactlyMkuu, heshima kwako. Hongera
Unavyosema quality traffic unamaanisha nini? Traffic kutoka nchi za nje wanazoonge kiingereza au unamaanisha nini?
una traffic ya nchi zipiMkuu type techniques mi natumia revenue hit lakn bado cpati mpunga
Google adsense wanakataa kuweka matangazo yao blogs za kiswahili je kuna mbadalaNdio payoneer prepaid master card ni nzuri na mimi ndio natumia kwa sasa mpunga unaingia ndani ya masaa mawili ukishatumiwa na kampuni husika... Propellar wapo vizuri huwa napiga mpaka dollar 50 siku. kwa siku nikitulia but kwa sasa nimewatuliza kidogo nakomalia zaidi revenuehits na addnoww... Hakuna pressure ya kufungiwa kama matapeli wa google adsense...Angalia hichi ni kipato changu cha leo kwa propellar hakuna pressure kama za adsense na bado dollar zinaendelea zinamiminika kwa leo.. ***note*** Quality traffic ni muhimu kwenye hizi ad network..
View attachment 434774
inawezekana kuweka matangazo kwenye baadhi ya template ila sio salama kwa uhai wa adsense yakoGoogle adsense wanakataa kuweka matangazo yao blogs za kiswahili je kuna mbadala
ndio mbadala upo kama propeller Ads, zhakkas n.kGoogle adsense wanakataa kuweka matangazo yao blogs za kiswahili je kuna mbadala
Kwenye blog yako unadili na kitu ganiNdio payoneer prepaid master card ni nzuri na mimi ndio natumia kwa sasa, na huwa mpunga unaingia ndani ya masaa mawili ukishatumiwa na kampuni husika... Propellar wapo vizuri huwa napiga mpaka dollar 50 siku. kwa siku nikitulia but kwa sasa nimewatuliza kidogo nakomalia zaidi revenuehits na addnoww... Hakuna pressure ya kufungiwa kama matapeli wa google adsense...Angalia hichi ni kipato changu cha leo kwa propellar hakuna pressure kama za adsense na bado dollar zinaendelea zinamiminika kwa leo.. ***note*** Quality traffic ni muhimu kwenye hizi ad network..
View attachment 434774