Niaje wadau wa humu mjengoni!! Natafuta battery kwa ajili ya Laptop yangu aina ya acer aspire E1-510. Hivyo baasi naomba mnisaidie kufahamu kuwa wapi zinauzwa na nitazipata vipi? Duka gani pamoja...
There isn't much that a shade tree mechanic can do to repair an automatic transmission but there are some simple things you can do to extend the time before problems arise.
The automatic...
NDUGU.. NIMEIBIWA SIMU AINA YA SAMSUNG GALAXY NOTE 1 ... NINA FULL IMEI NUMBER.. NAOMBA KWA DEVELOPER YEYOTE ANISAIDIE JINSI YA KUITRACK LOCATION SEHEM HII PHONE ILIPO AU ANISAIDIE KAUJUZI JINSI...
Habari wakuu? Kwa wenye uelewa naomba mnijuze namna ya ku download music on iphone.
Na je inawezekana kuhamisha miziki kutoka kwenye computer kwenda kwenye iphone?
Natumia desktop Acer nahitaji kuinstall Bluetooth niwe naitumia kwenye kuplay nyimbo kwa kutumia sub woofer ambayo na yenyewe ina Bluetooth nimejaribu kudownload nimeistal nkaja kugundua ile ni ya...
Sony claims it's not at fault for not releasing Android 7.0 Nougat for Xperia Z3
Japanese company Sony confirmed last week the smartphones that will receive Android 7.0 Nougat updates at some...
Habarini waungwana kama nilivotangulia kuandika hapo juu, sim yangu ni mpya kilichofanyika nikuwa nili iformat cm yangu sasa wakati wa kuwaka imekomea katika sehemu ya kusearch Wi-Fi inaseatch tu...
Kama kichwa cha habar kinavojieleza hapo juu,, kuna pc inaitwa lenovo brand (cce ultra thin u25) nimeiped lakin mim cio mtaalamu wa hivi vitu naombeni ushauri kwa wanaofahamu je ni nzuri naweza...
Ndugu wanajamvi naomba msaada kwa anaefahamu
Simu yangu haiconect mtandao kwenye pc japo inaonesha imeunganisha lkn ukifungua browser haifungui tovuti inasema there is no internet connection
Habarini wadau, ninatumia idm (internet download manager) siku za hivi karibuni imekuwa hailet ile pop up ya kudownload nikiplay video youtube kama mwanzo, websites zingine inafanya kaz kama...
Kuna jamaa aliingia kwenye FB na kuni-ADD alitumia ID nyingine nami nilim-ADD kumbe alikuwa jamaa ambaye namfahamu sasa nataka nim-Brock je nifanyeje??????maana ananisumbua sana.
Katika mtandao wa kijamii wa facebook, kuna makundi (Groups) mengi ambayo mtumiaji wa mtandao huu
anajikuta ameunganishwa hata pasipo kujijua. Na hii inakuwa kero maana unakua umeunganishwa...