Msaada kuhusu hii laptop ninayofikiria kununua

Msaada kuhusu hii laptop ninayofikiria kununua

anoobam

Member
Joined
Oct 22, 2016
Posts
62
Reaction score
38
Kama kichwa cha habar kinavojieleza hapo juu,, kuna pc inaitwa lenovo brand (cce ultra thin u25) nimeiped lakin mim cio mtaalamu wa hivi vitu naombeni ushauri kwa wanaofahamu je ni nzuri naweza kununua na haitonisumbua km laptop zngne coz jina lenyewe cjawai kusikia laptop ya aina hii hapo awali huo ndio wasiwasi wangu mkubwa nisije nikashkishw!!! msaada wenu tafadhali
 
1. unanunua sh ngapi
2. unataka uitumie kwa ajili ya nini
3. unaweza kuiona cpu yake?
 
Back
Top Bottom