Msaada ku download na kuweka miZiki kwenye iphone

Msaada ku download na kuweka miZiki kwenye iphone

zamboni

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2011
Posts
364
Reaction score
180
Habari wakuu? Kwa wenye uelewa naomba mnijuze namna ya ku download music on iphone.
Na je inawezekana kuhamisha miziki kutoka kwenye computer kwenda kwenye iphone?
 
Kwenye computer tayar iTunes nnayo,natakiwa na kwenye cm niwe na iTunes pia?
 
Hivi nikiitaji ku download music ya audio au video bila kutumia computer kwny iphone 6
 
Back
Top Bottom