g vizy
JF-Expert Member
- Jan 5, 2016
- 934
- 1,034
Natumia desktop Acer nahitaji kuinstall Bluetooth niwe naitumia kwenye kuplay nyimbo kwa kutumia sub woofer ambayo na yenyewe ina Bluetooth nimejaribu kudownload nimeistal nkaja kugundua ile ni ya laptop za lenovo ikashindwa kuonekana
Nisaidieni namna ambavyo naweza kufanya ili kuinstal Bluetooth to my PC ni vigezo vipi inatakiwa kuwa navyo ili kukamilisha zoez zima
Natanguliza shukrani za dhati kwa ninyi wakuu
ASANTE
Nisaidieni namna ambavyo naweza kufanya ili kuinstal Bluetooth to my PC ni vigezo vipi inatakiwa kuwa navyo ili kukamilisha zoez zima
Natanguliza shukrani za dhati kwa ninyi wakuu
ASANTE