Data roaming ni kitu gani?

Data roaming ni kitu gani?

2in1

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2014
Posts
224
Reaction score
109
Wakuu salam kwenu,naulizia maana na kazi ya hichi kitu "data roaming".Naiona sana kwenye settings za simu
3904aaa3dcf5d020e75dc0b5ab75a69d.jpg
 
Unachohitaji kujua hasa ni "roaming". Roaming ni uwezo wa simu kutumia mirandao mingine wakati mtandao unaotumia haupatikani sehemu ulipo. Mfano umeweka laini ya tigo unaenda sehemu tigo hakuna network lakini airtel kuna network. Kama umeactivate roaming basi simu utatumia network ya airtel na utaendelea na mawasiliano kama kawaida yaani calls na sms ila gharama zinakuwa juu. Wakati mwingine simu inasoma airtel kwenye screen wakati umeweka laini ya tigo. Pia kupitia roaming hiyo hiyo ukiweza kuaccess internet hiyo ndio inaitwa "data roaming"
 
Nam nimekuelewa
 
Nilikua naona tu lakini nilikua sijui maana yake. Thanks mkuu, umenifumbua macho.
 
Unachohitaji kujua hasa ni "roaming". Roaming ni uwezo wa simu kutumia mirandao mingine wakati mtandao unaotumia haupatikani sehemu ulipo. Mfano umeweka laini ya tigo unaenda sehemu tigo hakuna network lakini airtel kuna network. Kama umeactivate roaming basi simu utatumia network ya airtel na utaendelea na mawasiliano kama kawaida yaani calls na sms ila gharama zinakuwa juu. Wakati mwingine simu inasoma airtel kwenye screen wakati umeweka laini ya tigo. Pia kupitia roaming hiyo hiyo ukiweza kuaccess internet hiyo ndio inaitwa "data roaming"
Umeeleza vyema zaidi.
 
huko vizur
 
Barikiwa sana mkuu,nimekuelewa vyema
 
Back
Top Bottom