Dreadnought
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,917
- 4,005
Habarini wadau, ninatumia idm (internet download manager) siku za hivi karibuni imekuwa hailet ile pop up ya kudownload nikiplay video youtube kama mwanzo, websites zingine inafanya kaz kama kawaida ispokuwa youtube. Msaada tafadhali.
Natanguliza shukrani
Natanguliza shukrani