D dexus Member Joined Jan 30, 2015 Posts 22 Reaction score 43 Dec 3, 2016 #1 Habari wakuu nauliza kwa mtu mwenye ufahamu na hizi simu pia kuhusu bei kibongobongo imekaaje msaada wakuu
Habari wakuu nauliza kwa mtu mwenye ufahamu na hizi simu pia kuhusu bei kibongobongo imekaaje msaada wakuu
Punnisher JF-Expert Member Joined Jul 28, 2014 Posts 1,196 Reaction score 1,417 Dec 6, 2016 #2 400....
MT255 JF-Expert Member Joined May 3, 2012 Posts 3,729 Reaction score 4,999 Dec 6, 2016 #3 Nitafute nikupe Microsoft Lumia 640XL LTE imenyooka Ina run Windows 10 Kwa 400k tu Sent from Microsoft Lumia 950xl Lte
Nitafute nikupe Microsoft Lumia 640XL LTE imenyooka Ina run Windows 10 Kwa 400k tu Sent from Microsoft Lumia 950xl Lte
Kilangi masanja JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 4,618 Reaction score 5,248 Dec 7, 2016 #4 Kaka inaweza pungua kweli hiyo Sent from mTalk