Habarini wana jamvi
shida yangu ni kwamba nina website natengeneza lakini shida ni kwamba code za kufuta au kuremove product kwenye cart zinagoma kufunction na button aifanyi kazi msaada...
Habari wana jukwaa.
Mimi ni kijana ambaye kiujumla sijui lolote kuhus tathnia hii ya mambo ya upigaji picha kwa ujumla .Ila kuna sehemu amabko fursa nimeion naamini kabisa kua itanisaidia...
Nahitaji msaada wa hali na mali wa season ya LETS FIGHT GHOST ya kikorea ambayo screen size yake haija katwa ka youtube ipo full yan ka za kwenye tv kabisa
Natumain mu wazima. Naomba kuuliza app inaweza nisaidia ku restore majina maana namba zimebaki ila hazina majina, kwenye contact msaada wa kuzirudisha.
Habari wanaJF,
Simu yangu nimefanya reset imekubali vizuri tu ila kwenye kipengele cha kulog in na email napata shida na sielewi nifanyaje. Kila email ninayoweka naambiwa
(please sign in for...
Simu nyingi siku izi hazina auto internet configaration ivyo zinaitaji manual internet setting simu izo ni kama samsung uhawei htc sony na nk ivyo apo ndipo panakuja na umuimu wa kujua APNs na...
Poleni kwa majukumu wadau wa jukwaa la teknologia, naomba tujadili ubora wa bidhaa za led tv kutoka brand hizi mbili,binafsi nlienda kununua sony led tv atleast ya kuanzia inch 40 pale game...
Wapendwa huskeni na kichwa cha uzi hapo juu,,,,
Naomben kwa wale wenye uwezo wa kutuwekea kitabu cha nyimbo za wokovu huko play store atusaidie ,,
Maana naona vitabu vingine vimejaa ila hicho tu...
Wakuu kumekuwa na ushindani katika teknolojia duniani leo nimeona nijitoe uvivu niulize juu ya hilo swala
Nani mjuaji wa teknolojia kati ya USA VS japan aksante.
Natanguliza Heshima kwenu.
Matumai mu-wazima kabisa na mnaendelea vyema na ujenzi wa taifa letu.
Naomba mnisaidie sites ntakazoweza ku-download series direct sio torrent wakuu kwa kutumia...
Jamani mwenye uelewa wa jinsi ya ku set internet ya halotel kwenye simu za blackberry kwa kweli kwa jinsi wanavyo set kwenye android phones imeshindikana kabisa inaandika edge tu lakini 3G hakuna...
kuna mtu nilimuachia PC yangu, aina ya CP ni comaq, uyo mtu hana uzoefu na ivyo vitu sasa kwa bahat mbaya nilipomuachia aliiwasha ila baadae akaamua kuizima kwa ku command power ivyo kupelekea...