Msaada wa kiteknolojia kuhusiana na mambo ya ufunguaji wa studio za kupiga na kusafisha picha

Kilangi masanja

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
2,467
2,000
Habari wana jukwaa.
Mimi ni kijana ambaye kiujumla sijui lolote kuhus tathnia hii ya mambo ya upigaji picha kwa ujumla .Ila kuna sehemu amabko fursa nimeion naamini kabisa kua itanisaidia kujiongezea kipato sasa nahitaji niptiwe ufanunuzi wa awali wa vifaa muhimu ambavyo vitanisaidia kuweza kuanzisha hii studio kwa bdi ya chini kabisa ili baadae niweze kuja ongeza vifaa vingine taratibu taratibu .Pesa niliyonayo ni 1.5 milion na hitaji msaada wenu wadau
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom