Msaada nataka kuswitch 4g kwenye simu yangu

enock yusto

JF-Expert Member
May 28, 2014
377
340
Habari zenu ndugu Nina simu yangu tecno w5 lite nataka niswitch 4g ya voda vipi itasupport na mitandao mingine Kama tigo au kila mtandao kivyake
 
Sijaelewa.. kwamba saivi unatumia voda kwa hiyo unataka kuswitch network itumike 4G, kwa hiyo unauliza kama ukiweka laini ya mtandao mwingine itasupport 4G au la?? Si ndio?
 
Sijaelewa.. kwamba saivi unatumia voda kwa hiyo unataka kuswitch network itumike 4G, kwa hiyo unauliza kama ukiweka laini ya mtandao mwingine itasupport 4G au la?? Si ndio?
Ndio namansha hvy nkiswitch 4g ya voda hata tigo itasoma 4g
 
Inategemea vitu kadhaa:
Kama upo sehemu ambayo mtandao wa tigo unatoa huduma hiyo ya 4G na una laini ya simu inayosapoti 4G basi utaweza kutumia 4G hata kwa Tigo.
 
Kifupi ili uweze kutumia 4G kwa mtandao wowote :

1.Uwe na simu yenye uwezo wa kusapoti 4G
2.Uwe na laini ya simu ya mtandao husika inayosapoti 4G
3.Eneo ulilopo lazima liwe na minara ya simu inayo-facilitate 4G i.e 4G ipo baadhi ya mikoa Tanzania.

Kikikosekana kimojawapo, 4G haiwezi kufanya kazi kwenye simu yako, bila kujali mtandao unaotumia.

Mimi.. ninashukuru
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom