Habari wakuu wa ukumbi huu leo niko na shida kuhusu PDF kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nahitaji kutuma PDF kwenye website flani ya nje bt inahitajika folder langu liwe na MB moja kamili sasa...
Tafadhari Shufu Kichwa cha Habari Hapo Juu,,
Naomba Kusaidiwa, Applications zote za Simu yangu ya Android TECNO Boom J8 Zinafanya Kazi Upande wa Internet Kasoro Whatsapp na Instagram ambazo...
jaman mi ni Wa long time hapa jf ila cjui jinsi ya kuipost pic humu jf o kuiweka habar nzima kutoka blog nyngine kuiweka hapa ,ivo naomben mnsaidie ili nishiriki nanyi kikamilifu
Nilikuwa naomba msaada kwa anefahamu njinsi ya kufunga cd aw dvd kwani same time unaweza ukawa umepewa cd aw dvd ukiitia kwenye computer huwa ina display moja kwa moja ila kile kilichokuwepo...
Natumia Nokia Lumia 520 windows 8.1, nataka Ku upgrade ili niweze kutumia windows 10. Kuna application inaitwa windows 10 upgrade advisor sasa nikitaka Ku upgrade to windows 10 inasema not...
naombeni anayefahamu anijuze ni wapi wanauza SIGNAL FINDER kwa ajili ya kufungia madish hapa jijini dar es salaam na bei yake kama inafahamika ... asanteni
Kwa wale ambao co mashabiki wa Steve Jobs na iPhone kuna njia rahisi ya ku crash na kuzima simu ya mtu mwenye iphone. Fungua iPhone yako nenda iMessage alf mtumie hyo mlengwa emoji ya white...
kuna hii sms inakuja kwenye Sms kama nafanya kitu halafu programe husika inajifuta na kunibd kuanza upya tena nimejitaidi kutafuta suluhisho ila nimeshindwa.Naomba Msaada jinsi ya kuiondoa wapendwa.
Habari zenu wana JF.
Jamani mimi nipo kwenye course ya kujifunza computer. Naomba msaada.
How to assign/ create a field key in first table to be a foreign key in second table so as can lead to...
Na hapo nipo chang'ombe je nikiwa kisukulu ndan ndan huko itakuwaje
BTW anaejua APN za Halotel hanisaidie tafadhali[emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji45]
Habari wana jamvini,
Polen na mihangaiko ya hapa na pale katika nchi hii ya mtukufu magu.
Msaada jaman, nashindwa kuingia kwenye playstore kwasabu kila nikitaka kuingia inanambia niingize redeem...