Cant sign in playstore, it ask for redeem code

Cant sign in playstore, it ask for redeem code

bro kay

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Posts
249
Reaction score
222
Habari wana jamvini,

Polen na mihangaiko ya hapa na pale katika nchi hii ya mtukufu magu.

Msaada jaman, nashindwa kuingia kwenye playstore kwasabu kila nikitaka kuingia inanambia niingize redeem code.

Msaada jaman kwa mwenye ujuzi wa jinsi ya kujing'atua katika hili.

Ahsanten
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom