Signal finder

mushi

Member
Feb 15, 2014
10
3
naombeni anayefahamu anijuze ni wapi wanauza SIGNAL FINDER kwa ajili ya kufungia madish hapa jijini dar es salaam na bei yake kama inafahamika ... asanteni
 
mkuu mm ningekushauri uagize tuu nje ya nchi wiki moja unakuwa umeipata
 
namna ya kuagiza ndio tatizo ndugu
kama upo dar kuna jamaa wao wanakuagizia unacheki tu online garama yake kiasi gani then unawaongezea pesa kidogo sana basi wanakunun ulia na kukuletea bongo.wana ofisi k/koo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom