Jinsi ya ku crash iPhone

Jinsi ya ku crash iPhone

Kurt godel

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2017
Posts
317
Reaction score
174
Kwa wale ambao co mashabiki wa Steve Jobs na iPhone kuna njia rahisi ya ku crash na kuzima simu ya mtu mwenye iphone. Fungua iPhone yako nenda iMessage alf mtumie hyo mlengwa emoji ya white flag(bendera nyeupe) number 0 na rainbow emoji then sit back and enjoy jinsi gani atavyo lalamika kuhusu simu kuwa mbovu
 
Back
Top Bottom