Petro Oswald
JF-Expert Member
- Aug 17, 2015
- 2,379
- 1,879
Kwa mwenye set up ya programs za ku crack adobe photoshop anisaidie, au km analink atume humu

.....ntumie adobe photoshopkuepuka usumbufu wote huo download tu photoshop portable
-mb 300 tu
-huna haja ya kufanya chochote, hucrack, huinstall etc unafungua tu program yako na kufunga
zipo torrents na internet kwa ujumla za kutosha tu