Njia zinazotumika kufunga CD au DVD

Apr 8, 2012
29
0
Nilikuwa naomba msaada kwa anefahamu njinsi ya kufunga cd aw dvd kwani same time unaweza ukawa umepewa cd aw dvd ukiitia kwenye computer huwa ina display moja kwa moja ila kile kilichokuwepo kwenye hiyo cd huwa huwezi kuki copy je ni njia gani huwa zinatumiwa hapo
AHSANTENI
 
Back
Top Bottom