MSAADA:Simu yangu huandika hivi na ni kero kubwa kwangu!!

Itzmusacmb

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
1,531
1,133
Wakuu naombeni msaada simu yangu inaleta hii Notification kila muda na mpaka imekuwa kero, however natumia Lenovo Xvibe 960


a2bc73b9814992aa1e9c5c92ec2c41ea.jpg


~Cmb
 
1. jaribu ku clear cache na data zake (uanze upya) nenda setting halafu application itafute hio play service.

2. jaribu kui update kama kuna updates zake
 
Back
Top Bottom