Naomba msaada wa kiufundi

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,321
4,671
1485194842593.png
kuna hii sms inakuja kwenye Sms kama nafanya kitu halafu programe husika inajifuta na kunibd kuanza upya tena nimejitaidi kutafuta suluhisho ila nimeshindwa.Naomba Msaada jinsi ya kuiondoa wapendwa.
 
Ngoja wataalam waje... Hii makitu na mimi inanitokea. Inaboa sana yani...

"Unfortunately, Whatsapp has stopped"... Dah!!
 
Ngoja wataalam waje... Hii makitu na mimi inanitokea. Inaboa sana yani...

"Unfortunately, Whatsapp has stopped"... Dah!!
Halafu zamani haikuwepo nikahisi kuna programe nimeipakua ndo imeleta hicho kirus...aisee inakera kupita maelezo,naimani wataalamu watatupatia suluhisho.
 
Hiyo ni virus ambayo ipo kwenye simu nyingi zenye mfumo wa adroid kwa sasa (hasa huawei) Karibu ofisini kwangu kwa msaada wa kiufundi
 
Back
Top Bottom