Blackberry ni miongoni mwa kampuni ulimwenguni zinazoongoza katika ufumbuzi wa teknologia mbalimbali katika ulimwenguni wa mawasiliano wa kutumia simu za mkononi maarufu hivi sasa kama smatifoni...
Laptop yangu aina ya Lenovo ni mpya na inatumia window 10.Tatizo ni kwamba nikiingia kwenye internet kuna wakati inaleta bar na dots nyeusi juu ya page niliyopo. Bar hizi zinatokea randomly na...
Habari wadau
Simu yangu nokia x2 rumia nadhani ina tatizo au labda ndio ipo hivi inikutavyo tatizo nikwamba
1,Nikiwa napakuwa baadhi ya App unigomea na kudai sijafikia huduma za google duka kifaa...
Habari...
Kuna HP imegoma kuwaka, yaani ikiwaka kuna Ka mstari Fulani kama Ka alama Ka kutoa kana blink kwa upande wa juu kushoto, basi haiendelei tena......
Ilikuwa hivi, niliizima fresh...
Wakuu nimedownload version mpya ya whatsapp lakini nashindwa kuitumia hasa hapa kwenye stutas yaani sielewi kabisa mwenye kujua hii version mpya ya whatsapp anisaidie jamani msaada jamani
Hapo jana shirika la NASA la nchini marekani lilitoa tangazo maalumu kuwa sasa kumepatikana sayari saba mpya, kwa mujubu wa NASA sayari hizo zenye ukubwa sawa na dunia zinauwezekano wa kuishi...
How to make emoji using your picture
Technology is really improving day by day
Not all the emojis can express someone's feelings
You can now express your feelings using your image
At least to...
Habari za mida wakuu,naomba kujuzwa tofauti za RAM na processor naona zinanichanganya.Pia ipi itakua mashine yenye uwezo mkubwa kati ya hizi mbili,machine 1:intel core i5 RAM 3GB machine2:intel...
2jadiliane wote na 2elemishane.. Mi nimtafiti wa ma network ya bongo,nachunguza process zote na katika process ya kucheki napata kujua vitu vingi tuu,hadi wapi kuattack..but nimeona sasa ni mda wa...
Kuna ishu kubwa saivi inatuface gamers ambayo ni hadwares
To be honest hapo mimi mwenyewe kilaza. Tena kilaza haswa.
Ila nina PC ya kawaida tu HP i3 na inapiga mizigo kama lembe.
Nina magem...
Naipenda sana Game ya Euro Truck 2 Simulator, mpk sasa nipo level ya 16 kupitia laptop yangu, kitu kinachonishinda ni endapo nikitaka kuendesha magari mengine tofauti na haya Ma-truck, kwa...
kama kila MTU anavyojua dunia imeshaa Na inaendelea ku undergo a digital revolution.Hapa Africa tunaona innovations kma sim banking Na "bullshit waste of talent programs to save society nyingi...
wakuu habari ,naliomba mwenye kujua jinsi ya kujiunga na mtandao wa matangazo kwa website wa pinpoint anifahamishe,natangulia shukrani kwa atakayefanikisha