Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,925
- 95,582
Laptop yangu aina ya Lenovo ni mpya na inatumia window 10.Tatizo ni kwamba nikiingia kwenye internet kuna wakati inaleta bar na dots nyeusi juu ya page niliyopo. Bar hizi zinatokea randomly na hutoweka baada ya mda mfupi,mara nyingi nikihama page na kurudi kwenye page ya awali hukuta bar hizi zimeshatoweka.Tatizo linaweza kuwa ni nini?ninawezaje kuliondoa tatizo hili?.....Sifa na utukufu ziwaendee watu wote ambao watanisaidia kwenye hili! ........nimeambatanisha screenshot za tatizo hilo ili kwa wenye uelewa waweze kutambua tatizo kwa haraka zaidi.
cc:Chief Mkwawa
cc:Chief Mkwawa