Msaada wakuu kuhusu kutuma pesa kwa M-Pesa

Antony Jr

Member
Feb 21, 2017
53
4
Naomba kujua jins ya. Kuanza kutuma pesa kwenye mtandao unaanza tuma pesa au lipa kwa M-PESA?? Nmesha poteza 20 wadau msaada kwa anaye jua
 
Kama unamtumia mtu ni tuma pesa namba moja afuu ingiza namba namba moja then unaingiza 0752440000 then kiasi afuu namba ya siri afuuu moja kukubali ndo utafata maelekezo ya mwisho
 
Kama unamtumia mtu ni tuma pesa namba moja afuu ingiza namba namba moja then unaingiza 0752440000 then kiasi afuu namba ya siri afuuu moja kukubali ndo utafata maelekezo ya mwisho
Sasa sio mtu nacte mkuu
 
Ukiambiwa LIPA KWA M PESA au Tigo Pesa au Airtel Money wana maana ulipie vitu kwa mfano:
Ada
Luku
Dawasco
Azam Tv
Dstv
StarTimes
Continental
Zuku
Leseni
Kodi ya nyumba na kadhalika
 
Na ukiambiwa Tuma Pesa wanamaanisha utume pesa kwa mtu yaani kupitia namba ya simu ya mtu.

Swali lingine?
 
Back
Top Bottom