Speed katika kutype kazi

Speed katika kutype kazi

Mpambalachuma

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2015
Posts
362
Reaction score
44
Naomben msaada wa jinsi ya kuwa na speed ktk typing, nitafurah iwapo nikipata game ambalo litanisadia ktk speed, natangulia shukran
 
hamishia app zako za kuchat zote kwenye pc, ukipata msg muhimu za kujibu utaandika bila kuchoka na speed itaongezeka.
 
Kwa pc ..tafuta program ya marvis beacon ..
 
anaweza ku chat kwa kutumia web versions za hizo apps e.g web.whatsapp.com

ila kama nimemuelewa jamaa anataka games...akisha practice kwenye games ndo anaweza kuamia hizi options
 
Back
Top Bottom