Msaada: Kompyuta yangu inashindwa kuboot

Kaudunde Kautwange

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
1,625
1,619
Habari...

Kuna HP imegoma kuwaka, yaani ikiwaka kuna Ka mstari Fulani kama Ka alama Ka kutoa kana blink kwa upande wa juu kushoto, basi haiendelei tena......

Ilikuwa hivi, niliizima fresh, nilipotaka kuwasha nikachomeka flash kwanza, kumbe ile flash ni bootable na ilikuwa na image ya windows 7.

Ikaji boot, kabla haijaendele nikawahi ku cancel.. Kuzima, kuwasha ndio likaanza tatizo..

Msaada wenu tafadhali
 
Duuuh... Mkuu kwani kichwa cha habari hakioneshi kompyuta yangu ina tatizo gani!??
Kichwa cha habari kinaeleza kuwa computer yako inashindwa kuboot, lakini maelezo yako yanaonesha kuwa computer inaweza kuboot ila haioni os ya kuendelea nayo.

Au computer yako haiwaki kabisa?.

Ukiweza kufafanua tatizo halisi tutatoa ushauri
 
Habari...

Kuna HP imegoma kuwaka, yaani ikiwaka kuna Ka mstari Fulani kama Ka alama Ka kutoa kana blink kwa upande wa juu kushoto, basi haiendelei tena......

Ilikuwa hivi, niliizima fresh, nilipotaka kuwasha nikachomeka flash kwanza, kumbe ile flash ni bootable na ilikuwa na image ya windows 7.

Ikaji boot, kabla haijaendele nikawahi ku cancel.. Kuzima, kuwasha ndio likaanza tatizo..

Msaada wenu tafadhali
kwa kifupi Window 7 inashindwa kustart

Cc CHIEF MKWAWA
 
Kichwa cha habari kinaeleza kuwa computer yako inashindwa kuboot, lakini maelezo yako yanaonesha kuwa computer inaweza kuboot ila haioni os ya kuendelea nayo.

Au computer yako haiwaki kabisa?.

Ukiweza kufafanua tatizo halisi tutatoa ushauri
Mkuu, ukiwa professional kwenye eneo Fulani, basi lazima ujifunze Ku deal na watu ambao Hawana hiyo knowledge kabisa.. Mi Nadhani kama umeelewa shida basi saidia...

Ukikaa na.mzungu, ukiongea neno Fulani ambalo umekosea, lkn akajua ulitaka kumaanisha nini atakusaidia, lkn ukikaa na mbongo, ukaonge neno fulani, huku akijua umekosea lkn anafahamu ulichotaka kumaanisha, basi lazima aanze kujifanya hajaelewa
 
Washa hiyo computer, kisha bonyeza F8 chagua safe mode ikikubali kuwakia safe mode, restore your computer to an earlier time.

Ikigoma kwenda safe mode , ni pm.
 
The good thing is pc inawaka ila haioni any bootable media...probably ume corrupt windows bootable partition.
Assuming huku delete kabisa partition yenye OS
Option ya kwanza switch on then press f8 choose safe mode...ikikataa choose safe mode with cmd ikiwaka kwenye cmd type sfc /SCANNOW itajaribu kurepair windows any corrupt file..ikishindikana hii option..
Tafuta cd ya windows 7 boot from it then try to repair existing OS...yaani hapa najaribu tu ku guess possible solutions kutokana na maelezo yako kutojitosheleza...kwasababu siajabu hata ulifanya changes kwenye bios uka fanya pc isi boot coz of incompatible bios settings...kumi tisa i think ume delete bootable partition...
 
Mkuu, nimewasiliana na aliyeniachia hii machine, anasema kuna domain inayo imonita hii machine, ni domain ya UK, Hapo nafanyeje
 
Domain boss worry about that baada ya kurepair windows OS yako...cha msingi kwa sasa fanya i boot...try hizo steps ila kama umedelete windows partition kwa bahati mbaya hiyo domain account huwezi ipata coz you need to redo a fresh windows install
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom