Gamers : Msaada wa euro truck 2 simulator

WA KISHUA

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
365
130
Naipenda sana Game ya Euro Truck 2 Simulator, mpk sasa nipo level ya 16 kupitia laptop yangu, kitu kinachonishinda ni endapo nikitaka kuendesha magari mengine tofauti na haya Ma-truck, kwa ufupi nataka kuendesha magari madogo pia na bus ikiwemo, Je, natakiwa nifike level ya ngapi ili niweze kucheza mission za magari madogo? Msaada wenu tafadhali. Nawasilisha
 
Download update pack from their website hapo ndipo utakapochagua aina ya magari unayotaka kuyatumia
 
Hapo kwenye ku-update ndipo panaponishinda, naomba unielekeze jinsi ya ku-update hiyo kwenye website yao.
 
Inawezekana ila mpaka utumie mods...zipo nyingi sana online unaweza kuzidownload na kuendesha magari tofauti na lori...mi ni moja ya game zangu maarufu..kuna mod moja ina ramani za africa ya kaskazini huko...morocco, misri , libya nk...very nice!
 
mkuu nipe link ya Raman ya Africa... nataman route za kwetu mkuu
 
Nenda kwenye link zilizotolewa hapo then in the site search what you want. Angalia version kuna universal mod for all version na mods nyingine kwaajili ya specific version
 
Mkuu naomba link ya hii game niipakue naitafuta sana..
 
Nenda kwenye link zilizotolewa hapo then in the site search what you want. Angalia version kuna universal mod for all version na mods nyingine kwaajili ya specific version

thanks mkuu
 
Back
Top Bottom