PC Gamers Njooni Hapa

mwanaMtata

JF-Expert Member
Oct 18, 2014
2,393
1,433
Kuna ishu kubwa saivi inatuface gamers ambayo ni hadwares
To be honest hapo mimi mwenyewe kilaza. Tena kilaza haswa.

Ila nina PC ya kawaida tu HP i3 na inapiga mizigo kama lembe.
Nina magem kadhaa na yanasonga.
Nina magem kama
-dead pool
-PES
-Truck Mania
-Blur
- Driver san Fransisco
-Euro Truck Simulator
-Devil May cry
-NFSMW

Naomba kama kuna ruksa yenu nifungue whats app grupu letu tue tunaswap games au hata kuuziana ikibidi.
Personal
DMC na Blur nilizinunua baada ya kila nalodownload lilifeli.
 
mkuu kama unajiona huelewi elewi tumia games ambazo ni repack toka torrent kama vile za rgmechanics

game za repack ni rahisi sana kuzieka sababu mchakachuaji anakuwa tayari amebadili mpangilio wa mafile na kuueka anavyotaka yeye,
Mkubwa usihofu Mimi umbulula wangu Mambo Ya hardware specs
ilakuinstall haina shida kwangu.
Hua napenda nikijua kitu nifunze Na watu Ndomaana mesema anaependa aje PM tuanzishe kundi
 
Aisee baada ya magemu mazuri mazuri kukataa kucheza kwenye pc yangu nimepunguza sana,nimekwama sasa hivi kwa sababu nahitaji pc mpya ambayo itakizi mahitaji yangu. Tatizo ni sehemu ya kuijua na kuipata hiyo pc.
 
mwenye link ninayoweza download fifa 16 naomba
au fifa 15 au patch za fifa 14 latest
 
mwenye link ninayoweza download fifa 16 naomba
au fifa 15 au patch za fifa 14 latest
867606f9266fa0130a49af49d2dad375.jpg


Mkuu umetumwa nini. Mzigo ndo naupakua hapa fifa 15 sema si unaelewa mambo ya wifi za free inaenda mwendo wa kobe.
Nimelipata hapa oceanofgames.com
 
50gb kwa speed hiyoo c utamaliza mwakan hapo ndugu tafuta halotel, duuh ila 50gb n kubwa aisee
867606f9266fa0130a49af49d2dad375.jpg


Mkuu umetumwa nini. Mzigo ndo naupakua hapa fifa 15 sema si unaelewa mambo ya wifi za free inaenda mwendo wa kobe.
Nimelipata hapa oceanofgames.com
 
Back
Top Bottom