Kwa anae jua jinsi ya kusolve hili tatizo nnapo iwasha simu sign ya gia za setting inazunguka mwanzo mwisho nonstop kwenye screen hadi simu inazimika chaji.
anae jua suluhisho la hili tatizo...
Habari wanajf!
Ni wiki 2 sasa acc yangu ya Facebook hai tag! Nimejaribu kutumia ujuzi wangu wote lakini nimeshindwa! Mwenye ujuzi au uelewa na hili tatizo naomba anisaidie!
Msaada kwa wanaojua series za kikorea kali zaid nikimaanisha nzuri zaid ila na pendelea zziwe za mjini zisizo za action au history most na prefer za romance , fantasy, melody and comedy au...
Tsh 390 unapata 1GB
Tsh 890 unapata 2GB
Hope Itakuwa Poa Ila ni Weekend Tu Kuanzia Ijumaa Mpk Jumapili
****UPDATE*****
PIA WAMEKUJA NA FACEBOOK YA BUREEE
Kuna jamaa yangu alikuja kuomba msaada kwangu kuwa ana Simu aina ya tecno y6, katika Simu yake kila akiizima, akija kuiwasha kuna Meseji za 3 za zamani HUWA zinaibuka kana kwamba ametumiwa muda...
Smile wana kazi sasa ya kupambana na tigo & smart kuvuna wateja, kwa kipindi kirefu ama kifupi smile wame enjoy sana monopoly market ila kwa sasa competitors wanaongezeka na bei zinashuka za...
Vipi wakuu
Mimi nipo Arusha napenda kujifunza programming na nipo tayari kusoma lakini nimeona kusoma mwenye inanipa ugumu kidogo kwaiyo wale wenye lengo kama langu na ambao wapo serious na...
Google Assistant is coming to the desktop through Allo.
One of the main drawbacks of Allo has been the lack of a desktop version, but it looks like that's about to change. A tweet from Google's...
Wakuu,
Hapa JF ni chuo kabisaaaa. Nimekuwa sijui A wala B kwenye matumizi ya android phones lkn sasa kuna kitu nshaambulia. Ahsanteni sana.
Naomba sasa kusaidiwa kuhusu kutumia simu yenye laini...
Hello there, naomba msaada. Kuna Tv nimenunua China (Haier) na Android OS yake imekuja ukiwa na lugha ya kichina. Na kwa bahati mbaya hakuna option ya kubadili lugha. Sasa nataka ni-format hii...
Software nyingi zinapatikana kwa aliyekuwa anahitaji zikiwa na genuine product keys na maelekezo yake jinsi ya kuinstall kwenye computer au laptop..
Windows Operating System 7,8 & 10
Mac OS...