Wenye nia na lengo la kujifunza programming tukutane hapa

Isack Michael

Senior Member
Jan 12, 2017
122
34
Vipi wakuu

Mimi nipo Arusha napenda kujifunza programming na nipo tayari kusoma lakini nimeona kusoma mwenye inanipa ugumu kidogo kwaiyo wale wenye lengo kama langu na ambao wapo serious na wanao patikana Arusha karibuni ili tuweze jumuika pamoja na kusoma pamoja na kushare idea ili tuweze kufikia lengo...

Asanteni
 
Zipo programming languages nyingi sana kutegemeana na aina ya program unayotaka kutengeneza , mahitaji ya spidi, na wapi unataka program ifanye kazi. Majina ya baadhi ya program ni kama vile C, C++, Java, PHP, Python, JavaScript, Ruby na Scala.

sijui wewe unataka ujifunje ipi?
 
Siku hizi kuwa kompyuta programa sio lazima uwe mtu aliyesoma moja ya fani tajwa hapo juu, hapana unaweza ukajfunza programing hata kama wewe ni muhasibu, mwalimu au hata mtumishi wa kawaida wa serikali kama tu unamuda wa kutosha kufanya hivyo.

Ila cha kuzingatia uwe na moyo wa kufuatilia sana online kwenye site ya Lynda: Online Courses, Class, Training, Tutorials ila kwenye hii website itakubidi uweze kulipia kiasi fulani kwa mwezi/mwaka ili kuweza kujifunza kupitia elimu masafa/elimu mtandao.

Muhimu kuwa na nia ya kujua sio kuweza kutengeneza coz vijana wengi wanapenda ku sakinisha baadhi ya code na ku customize then wana sema wame design from scratch
 
Mkuu Arusha ni kubwa sana Sema uko pande zipi mimi pia nina nia ya kujifunza Programming nilianza ila nkaishia njiani kutokana na Majukumu Kunitinga ila bado passion ya coding ninayo
 
kichwa cha habari ulivyokiandika ni kama kimelenga watu wote wenye nia. tatizo IT wa kibongo kwenye hayo mambo ya kujumuika naona kama si kawaida kupata ushirikiano.
Nikweli mkuu lakini kama mtu unalengo la kupata mafanikio ni vizuri watu tushirikiane kwangu mimi nimeona ivyo ndo vizuri ndo maana nikaanzisha huu uzi
 
Siku hizi kuwa kompyuta programa sio lazima uwe mtu aliyesoma moja ya fani tajwa hapo juu, hapana unaweza ukajfunza programing hata kama wewe ni muhasibu, mwalimu au hata mtumishi wa kawaida wa serikali kama tu unamuda wa kutosha kufanya hivyo.

Ila cha kuzingatia uwe na moyo wa kufuatilia sana online kwenye site ya Lynda: Online Courses, Class, Training, Tutorials ila kwenye hii website itakubidi uweze kulipia kiasi fulani kwa mwezi/mwaka ili kuweza kujifunza kupitia elimu masafa/elimu mtandao.

Muhimu kuwa na nia ya kujua sio kuweza kutengeneza coz vijana wengi wanapenda ku sakinisha baadhi ya code na ku customize then wana sema wame design from scratch
Nikweli mtu yoyote anaweza kusoma coding ili mradi awe na nia na lengo na unaweza ukasoma mwenyewe au mkasoma kama kikundi kwenye online tutorials lakini kwangu mimi nimeona ni vema nitafute watu wenye nia na lengo la kusoma ili tushirikiane na kusoma pamoja hii ndio nia yangu na lengo langu
 
Zipo programming languages nyingi sana kutegemeana na aina ya program unayotaka kutengeneza , mahitaji ya spidi, na wapi unataka program ifanye kazi. Majina ya baadhi ya program ni kama vile C, C++, Java, PHP, Python, JavaScript, Ruby na Scala.

sijui wewe unataka ujifunje ipi?
Mimi ni beginner lakini na idea ya HTML/CSS na nataka niwe vizur kwenye swala la coding
 
Siku hizi kuwa kompyuta programa sio lazima uwe mtu aliyesoma moja ya fani tajwa hapo juu, hapana unaweza ukajfunza programing hata kama wewe ni muhasibu, mwalimu au hata mtumishi wa kawaida wa serikali kama tu unamuda wa kutosha kufanya hivyo.

Ila cha kuzingatia uwe na moyo wa kufuatilia sana online kwenye site ya Lynda: Online Courses, Class, Training, Tutorials ila kwenye hii website itakubidi uweze kulipia kiasi fulani kwa mwezi/mwaka ili kuweza kujifunza kupitia elimu masafa/elimu mtandao.

Muhimu kuwa na nia ya kujua sio kuweza kutengeneza coz vijana wengi wanapenda ku sakinisha baadhi ya code na ku customize then wana sema wame design from scratch
Mkuu kwa technology ya sasa kila kitu kipo mtandaoni, tena kama kwenye field ya IT hakuna jipya utakalo buni.... Hata Hao waliobobe bado kuna vitu wana customize... Kwa field ya IT kwa sasa ukiwa na idea tu umeula, hata kama Huna hiyo elimu, maana kila kitu kipo kwenye mtandao....
 
Bro unachosema siyo kweli je kama unania na lengo la kutengeneza App utawezaje kama aujui baadhi ya brogramming language? au kama unafahamu namna ya kutengeneza bila kusoma language yoyote
 
Mkuu, kuna nyuzi nyingi sana humu zinaelezea namna ya kutengeneza App hata kama hujuhi programming... Ngoja niweke link hapa kama ntaweza
 
A
Mkuu kwa technology ya sasa kila kitu kipo mtandaoni, tena kama kwenye field ya IT hakuna jipya utakalo buni.... Hata Hao waliobobe bado kuna vitu wana customize... Kwa field ya IT kwa sasa ukiwa na idea tu umeula, hata kama Huna hiyo elimu, maana kila kitu kipo kwenye mtandao....
Acha shortcut zako mkuu
 
Back
Top Bottom