Msaada matumizi ya Simu!

Mugabe one

JF-Expert Member
Nov 15, 2016
2,327
1,684
Kuna jamaa yangu alikuja kuomba msaada kwangu kuwa ana Simu aina ya tecno y6, katika Simu yake kila akiizima, akija kuiwasha kuna Meseji za 3 za zamani HUWA zinaibuka kana kwamba ametumiwa muda huu.
Naomba msaada ili nami nimwelekeze maana yeye hayumo JF.
Nawasilisha!!!
 
Hizo meseji hakuzisoma siku zilipotumwa anatakiwa azisome hizo sms. Ni kawaida sana kwa baadhi ya simu kama ulitumiwa meseji na hukuifungua basi kila ukizima na kuwasha simu zinajikumbushia tena.

Simu zingine ukitoa simcard na kurudishia ndio zinafanya hivyo.
 
Kuna jamaa yangu alikuja kuomba msaada kwangu kuwa ana Simu aina ya tecno y6, katika Simu yake kila akiizima, akija kuiwasha kuna Meseji za 3 za zamani HUWA zinaibuka kana kwamba ametumiwa muda huu.
Naomba msaada ili nami nimwelekeze maana yeye hayumo JF.
Nawasilisha!!!
Hilo nalo nakumbana nalo kwenye simu ya tecno h6, kuna sms nilitumiwa mwaka July 2015 ikitokea simu yangu imezimika nikiiwasha tu hizo sms zinaonekana tena.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom