Jinsi ya kubadilisha Android Firmware ya Smart Tv

trick

Member
Jun 8, 2009
10
2
Hello there, naomba msaada. Kuna Tv nimenunua China (Haier) na Android OS yake imekuja ukiwa na lugha ya kichina. Na kwa bahati mbaya hakuna option ya kubadili lugha. Sasa nataka ni-format hii Android OS then niweke nyingine. Je, kuna mtu anaweza kunisaidia maelekezo jinsi ya kufanya ili niweke Android OS nyingine ya kiingereza?? Msaada tutani jamani...
 
Back
Top Bottom