lumia hapa mmeniweza

Pangah2011

JF-Expert Member
Apr 29, 2012
260
213
Kwa anae jua jinsi ya kusolve hili tatizo nnapo iwasha simu sign ya gia za setting inazunguka mwanzo mwisho nonstop kwenye screen hadi simu inazimika chaji.
anae jua suluhisho la hili tatizo anisaidie.
 
Attachments

  • WP_20170311_10_11_18_Pro.jpg
    WP_20170311_10_11_18_Pro.jpg
    55.2 KB · Views: 31
Hiyo simu imedownload OS updates sasa inafanya Installation au umefanya factory reset.

Ichomeke kwenye chaji uiache kwa muda
 
Hiyo simu imedownload OS updates sasa inafanya Installation au umefanya factory reset.

Ichomeke kwenye chaji uiache kwa muda
nilifanya update sasa wakati wa inafanya installation ikazima chaji, baada ya hapo nnapo iwasha haiendelea tena Zaidi ya hapo viringi vinazunguka tu zaidi ya saa moja no progress
 
nilifanya update sasa wakati wa inafanya installation ikazima chaji, baada ya hapo nnapo iwasha haiendelea tena Zaidi ya hapo viringi vinazunguka tu zaidi ya saa moja no progress
Sasa ulifanya makosa kufanya updating ya OS wakati battery ipo Low. Hapo is imecorrupt na kinachotakiwa ni kuflash au fanya recovery kama una utundu ingia Youtube cheki namna ya kurecover kwa kutumia Microsoft recovery tool
 
installation ya update imefail au ulifactory reset bt kabla haijamaliza cmu ikazima chaji... huwa wanashauri cmu iwe na chaji angalau kuanzia 50%.. hapo unahtaji reinstallation of firmware au kwa lugha nyepesi tunasema kuiflash... unaweza ukaifanya hyo kazi mwenyewe bt ctakuwa responsible kwa lolote...una computer?, au hata kuazima
 
thanks nilikuwa nahisi hivyo so umeimarisha nilicho kihisi ntaufuata ushauri kikamilifu thanks
 
installation ya update imefail au ulifactory reset bt kabla haijamaliza cmu ikazima chaji... huwa wanashauri cmu iwe na chaji angalau kuanzia 50%.. hapo unahtaji reinstallation of firmware au kwa lugha nyepesi tunasema kuiflash... unaweza ukaifanya hyo kazi mwenyewe bt ctakuwa responsible kwa lolote...una computer?, au hata kuazima
installation ya update ilifail due to power so ilipo zima ikawa tatizo kuendelea , pc nnayo so ntajaribu kuiflash nikiwa najua anything can happen. Thanks for advise
 
download kitu inaitwa WINDOWDS DEVICE RECOVERY TOOL then install kwenye pc yako na ufuate all procedures, itachukua dakika kadhaa kuinstall.. ikishamaliza utailaunch na yenyewe itadai update na utakubali kudownload update na utainstall kisha open km haitafunguka yenyewe.. itakutaka uconect cmu yako then ikishaona cmu itato details za firmware iliyopo kwenye cmu yako na itakuwekea details za update iliyopo na utaona option ya install utaclick install zen click continue without submitting.. itadownload yenyewe zen itainstall... inabid uwe na data km 2gb and above... km utakuwa na poor network itafail mara kadhaa bt keep RETRY na hata mashine ikizima fuata procedures kianzia mwanzo na yenyewe itaresume download
 
Back
Top Bottom