MGANGA MCHAWI
Senior Member
- Oct 15, 2015
- 199
- 393
Wakuu naombeni msaada sumsung J2 nisiporotate screen haifanyi kazi au inabonyeza button ya pembeni yake (m).
Kwa kifupi button zote za mwisho za upande wa klia ni kama hazipo nikibonyeza inatokea button za pili toka mwisho za upande wa kulia.ila nikirotate screen inapiga kazi fresh.Hapo umenielewa mkuuSija kuelewa apo mwishon umeandika Nm!??