Msaada: Screen ya laptop inaonyesha hivi wakati wa ku-boot

ROKY

Senior Member
May 4, 2011
182
70
Naombeni msaada.
Laptop yangu ya HP nikiiwasha, inaonyesha screen hii hapa.
Tatizo ni nini?
WP_20170309_17_47_29_Pro.jpg
 
The problems might be graphic drivers not updated, screen to motherboard connection cable, LCD has broken. Try these
1. Use VGA cable to connect your PC to the another PC or monitor to check and you can play even music or video, if it Function, then the Problem is not on graphic drivers or motherboard , the problem is on LCD of screen. But if it doesn't play to another PC or monitor then the problem is on motherboard to screen cable connection and graphics drivers, update your graphics drivers or open to fix motherboard to screen cable connection .
 
Wewe hicho kioo chaki kinaelekea home so jipange mkuu. Nafikiri vinauzwa 60 ama zaidi
 
Pia fanya hivi. Shika kwenye edge ya kushoto kwa mkono wa kushoto, na edge ya kulia kwa mkono wa kulia, shika kwa nguvu kiasi uwe kama unataka kuvunja kwa kupishanisha huku laptop ikiwa imewashwa utaona kama upinde wa mvua ukipita kila unapotaka kuivunja. Fanya kama mara kumi hivi. Unaweza ukasaidia tatizo likaisha.
 
Back
Top Bottom