wazee wa halotel wako wapi?!! kwani kuna watu humu wali ipa promo balaa kuwa imekuja kuua makampuni mengine, kumbe si lolote naona kama imekufa hata kabla haijaanza.
wazee wa halotel wako wapi?!! kwani kuna watu humu wali ipa promo balaa kuwa imekuja kuua makampuni mengine, kumbe si lolote naona kama imekufa hata kabla haijaanza.
jamaa speed zao matata. ..I hope wataweka sawa tu gharama...kwa speed usifananishe na hawa wakongwe kabisa.
utapimaje speed bila ya watu? hii mitandao speed inashuka kutokana na idadi wa watu sababu ni speed ni shared na sio dedicated.
eneo ninaloishi kupata 10mbps tigo ni kitu cha kawaida tu ila kuna maeneo mengine hata picha ya whatsapp huwezi tuma.
Mbona in the west kuna watu wengi na spidi ya intanet ni fasta...achana hata na west....hata china...population kubwa ila intanet tres bien
1. internet zao nyingi wanauziwa kwa speed na sio vifurushi tu, ukiambiwa kifurushi cha 25mbps na ukapata 2mbps una haki ya ya kushitaki
2. hawatumii mobile data sana wengi ni broadband, mobile data hutumika matumizi machache na vifurushi ni bei ghali
sisi internet zetu ni gombania goli, mkiekewa kwenye mji bandwitch ya 1gbps na mpo kibao shauri yenu hata mpate 50kbps hakuna anaejali.
tanzania isp wanaotoa dedicated speed ni kama simbanet wakikupa 5mbps ujue ndio hio hio hata muwe wateja milioni kila mtu atapewa 5mbps yake
Nimekuwa nikotumia tigo, katika internet hawajawah kunikera hata kidogo, 1000, 650MB, usiku 15GB siku mbili kwa 1500, not bad at all
Nimekuwa nikotumia tigo, katika internet hawajawah kunikera hata kidogo, 1000, 650MB, usiku 15GB siku mbili kwa 1500, not bad at all
utapimaje speed bila ya watu? hii mitandao speed inashuka kutokana na idadi wa watu sababu ni speed ni shared na sio dedicated.
eneo ninaloishi kupata 10mbps tigo ni kitu cha kawaida tu ila kuna maeneo mengine hata picha ya whatsapp huwezi tuma.
Nyie ni wale wachache mnaoishi maeneo mazuri.. Tigo kwetu kwa hiyo 15gb usiku utachoka saa 5 mpaka saa 8 spidi wanayokupa ndogo saa 9 ndio wanaachia speed 5mbps ..Hawa jamaa line yao kuna muda nataka kuipiga moto