Kutumia simu kama modem

TRIPLE H

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
651
349
Wakuu,
Hapa JF ni chuo kabisaaaa. Nimekuwa sijui A wala B kwenye matumizi ya android phones lkn sasa kuna kitu nshaambulia. Ahsanteni sana.

Naomba sasa kusaidiwa kuhusu kutumia simu yenye laini iliyoungwa bundle (mb/gb kadhaa) isaidie nyingine isiyo na bundle.

Nafanyaje hapo?

Ahsanteni sana.
 
Inategemeana na aina ya simu unatumia but android nyingi nenda kwenye network, then tethering and hotspots. Configure kwa kuchagua jina na password utakayotumia, done. Weka tethering on and you are done. Utaona inatokea kwenye PC yako, connect and go on
 
Umemjibu vema. Afanye hivyo, naye ataona nuru
 
nenda kwenye networks then tethering and hotspot halafu:-
method 1.
kama pc yako ina bluetooth washa bluetooth the kwenye simu chagua bluetooth tethering.

method 2:-
connect simu yako na computer kwa kutumia usb the select usb tethering and you are done
method 3:-
weka wifi iwe on kwenye pc then kwenye simu chagua wireless tethering then njoo kwenye pc itafute hiyo wifi ya simu and connect... password huwa ipo tayari by default ila unaweza kuibadili
 
Ahsante sana. Nimefanikiwa
 
Inategemeana na aina ya simu unatumia but android nyingi nenda kwenye network, then tethering and hotspots. Configure kwa kuchagua jina na password utakayotumia, done. Weka tethering on and you are done. Utaona inatokea kwenye PC yako, connect and go on
Thanks. Nimefanikisha
 
nenda kwenye networks then tethering and hotspot halafu:-
method 1.
kama pc yako ina bluetooth washa bluetooth the kwenye simu chagua bluetooth tethering.

method 2:-
connect simu yako na computer kwa kutumia usb the select usb tethering and you are done
method 3:-
weka wifi iwe on kwenye pc then kwenye simu chagua wireless tethering then njoo kwenye pc itafute hiyo wifi ya simu and connect... password huwa ipo tayari by default ila unaweza kuibadili
Simu yangu. Ni Samsung s4 halafu natumia pc yenye window8. 1 mbona nikiunganisha wananiambia Usb tathering inatumika kwenye window 7 na window vista
 
Back
Top Bottom