Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,389
- 9,168
Njoo PM tufanye jambo, kila aina ya system natengeneza bei ni kulingana na complexity quality kulingana na bei
Karibu
Karibu
Ahsante sana ni marketing plan tu, japo kama mods mnaona naomba mbadilishe kama jamaa alivyosemaHapo kwenye “bei chee ndio ulipo haribu”
“NATENGENEZA WEBSITE NA MOBILE APPS CLEAN AND PROFESSIONAL” somehow ingake more sense
Sasa kama hana pesa unataka asemeje ili hadi makapuku tuende?Hapo kwenye “bei chee ndio ulipo haribu”
“NATENGENEZA WEBSITE NA MOBILE APPS CLEAN AND PROFESSIONAL” somehow ingake more sense
Kama upo interested njoo PM na deal nakupa picha na project zangu na hata link ya githubAngeweka pictures of examples alizozitengeneza
Makapuku nawapa punguzo 😂😂😂 ila zingatia quality == beiSasa kama hana pesa unataka asemeje ili hadi makapuku tuende?
Mkuu katika vitu ninavyovipenda nikua kama wewe kutengeneze webs, apps na systems managements ila sasa ni hatari bado mambo hayajakaa sawa but ungetuma link ya github pm (ili nione ui/ux)Kama upo interested njoo PM na deal nakupa picha na project zangu na hata link ya github
Okay ngoja nikuulize now unaweza kufanya nini?Mkuu katika vitu ninavyovipenda nikua kama wewe kutengeneze webs, apps na systems managements ila sasa ni hatari bado mambo hayajakaa sawa but ungetuma link ya github pm (ili nione ui/ux)
front endAnyway nataka kuanza startup ni develop any app
Okay ngoja nikuulize now unaweza kufanya nini?