Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Darknet sio sehem ya kuuziana madawa ya kulevya ama silaha tu kama watu wengi wanavyodhani bali ni soko ambalo kuna bidhaa zisizo halali na zilizo halali Ndugu zangu wana tech, je kuna mtu amewahi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada wa namna ya kujua password yangu humu JF, au kuunda nyingine tafadhali
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Hbr waungwana ni app gan naweza pata seasons for free
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Wana tech...naomba msaada ninaflash yang imegoma kuformatika...inaniandikia window canable to complite the format. Nitumie njia gn ili kuformat flash zilisho shindikana?
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Wanajukwaa wenzangu kwanza niwasalim kwa jina la Mungu aliye hai.Walioko katika mfungo wa mwezi mtukifu wa Ramadhani RAMADHAN KAREEM Nina sim yangu Tecno w3lte inanichanganya hapa.Nimeweka...
0 Reactions
2 Replies
759 Views
Amani iwe kwenu Nimewekeza kwenye biashara ya stationery kiasi fulani inalipa ,ila nataka kujitanua zaidi Naomba anayejua ni programu gani(soft ware inayotumika kutengeneza vitambulisho kwa...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
wakuu samahanini natumia tecno G9 na tatizo nililonalo ni simu yangu kwenye app ya facebook haina sehemu ya GO LIVE pamoja namimi ku update imekataa najiuliza kwanini?najua humu hakishindikani...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Husika Na kichwa cha habari hapo juu. Kama Kuna mtu anaweza kuipata plz tuwasiliane pm then biashara ifanyike
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wadau nahitaji fundi anaeweza kurepair na kufanyia service Photocopier machine aina ya Cannon na Toshiba yeyote anaeweza ani PM kwaajili ya mawasiliano.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba kwa anaejua anielekeze vizuri ninaihitaji sana account ya paypal
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau wa IT naombeni msaada wenu tafadhali nimesahau password na PIN ya pc yangu...naombeni msaada kwa yeyote mwenye ujuzi ili niweze ku unlock tafadhali N.B PC NI YANGU WALA SIYO YA WIZI
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habar wana jf,naomben kujua ni app gan inayotumika kutumiana app files kwa wale ambao wapo mbali mbali i mean kwa mtandao
0 Reactions
2 Replies
932 Views
habari za mchana wadau kiukweli mimi ni mwanafunzi wa sec na huwa natumia muda mchache wa likizo kufanya practical sasa nilikuwa nasoma web developing na nimefanikiwa kuelewa html,css,na...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Mimi ni mmoja wa wanaosafiri sana lakini tatizo ninalolipata ni pale ninapokosa fursa ya kuangalia luninga za Tanzania hasa nikiwa nje ya Tanzania. Nimepata MXQ Pro Android TV Box ambayo...
1 Reactions
12 Replies
9K Views
Kweny icon ya sound knaakaa alama chekund cha x
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wadau nina moderm ya tgo nataka ni unlock itumie line zote nitumie program gani,kwani nina Dc moderm unlocker nayo naitumia vp???????[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
0 Reactions
3 Replies
724 Views
Jaman kuna ads zinakuja zinakaa kwenye screen yangu kisha hazitoki jumla mpaka ni restart simu yangu, mfano wake hii picha
0 Reactions
6 Replies
2K Views
000000000000000000000000000
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Shrink your URLs and get paid!
0 Reactions
2 Replies
522 Views
Hallow dear folks and technocrats. Am looking for the Training Center or Institution in Dar es Salaam which is conducting review program or training on Certified Information Systems Security...
0 Reactions
23 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…